Hapa ilikuwa imebaki siku moja nimalizane na ofisi ya nemc hii siku ilikuwa ya furah kwangu na nilitoa zawadi kdg ya jezi ya mancity kwa bwana gaston kwa wema alionifanyia
Pichani ni boss wangu ofisin mr gaston A gaston huyo mwenye shati nyeupe nimejifunza mengi kutoka kwake na nategemea mengi pia kutoka kwake ni mtu ambae hana ile hali ya kukunja na mtu ambae anataka wote muendelee nyote kimaisha namshukru Mungu kwa kunikutanisha na bwana gaston A gaston
Hii ilikuwa mwaka 2012 mwenye shati ya blue ni mfaume sadick yumba(mtoto wa mamdogo) afu mimi nimevaa yebo zangu na shati nyeupe hii ilikuwa likizo ya mwezi wa 6 kipnd niko shule ya msingi
Hapa ni mwaka 2026 kwenye sikukuu ya mwaka mpya nilifanikiwa kwenda kuwaona wazazi huko wilayan kasulu kigoma kutoka kushoto kwangu ni joram james(baba mzazi) na vaileth nchimbili(mama mzazi) tulifurahi sote kukutana