28 January 2026


 Pichani ni boss wangu ofisin mr gaston A gaston huyo mwenye shati nyeupe  nimejifunza mengi kutoka kwake na nategemea mengi pia kutoka kwake ni mtu ambae hana ile hali ya kukunja na mtu ambae anataka wote muendelee nyote kimaisha namshukru Mungu kwa kunikutanisha na bwana gaston A gaston

Comments

Popular posts from this blog

Mwaka 2012