Nyumbani kasulu kigoma tarehe 6/1/2026


 Hapa ni mwaka 2026 kwenye sikukuu ya mwaka mpya nilifanikiwa kwenda kuwaona wazazi huko wilayan kasulu kigoma kutoka kushoto kwangu ni joram james(baba mzazi) na vaileth nchimbili(mama mzazi) tulifurahi sote kukutana

Comments

Popular posts from this blog

Mwaka 2012