Mwanza mbugani Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps January 22, 2026 Nikapata picha kidogo sehem niliyopanga na duka niaachiwa kabs niangalie kijana mwaminifu kabs Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
MWANZA JANUARY 21, 2026 January 21, 2026 Asante Mungu kwa kuniwezesha kuanzisha blog yangu binafsi ya himidi joram na asante kwa kunilinda jumatano nzima ya leo Read more
Mwaka 2012 January 22, 2026 Hii ilikuwa mwaka 2012 mwenye shati ya blue ni mfaume sadick yumba(mtoto wa mamdogo) afu mimi nimevaa yebo zangu na shati nyeupe hii ilikuwa likizo ya mwezi wa 6 kipnd niko shule ya msingi Read more
Tarehe 27 jan 2026 January 27, 2026 Baada ya kikao kizito kinachohusiana na wild life policy wenzetu kutoka chuo cha wild animals walikuja kujifunza ofisi za nemc Read more
Comments
Post a Comment